al-Waadi´iy kuhusu kuwatahiri watoto wakike

Swali: Ni ipi hukumu ya Uislamu kuhusu kuwatahiri wasichana na zipi dalili juu ya hilo?

Jibu: Ni Sunnah. Kwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipokuwa anazungumzia juu ya Fitrah moja wapo alitaja kuwa ni kutahiriwa. Hili linamgusa mvulana na msichana.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=3538
  • Imechapishwa: 03/05/2015