al-Qayrawaaniy aliandika “ar-Risaalah” akiwa ni kijana

Swali: Je, ni sahihi al-Qayrawaaniy aliandika ujumbe huu – ar-Risaalah – wakati alipokuwa mdogo?

Jibu: Ndio. Alimwandikia nayo mwalimu wake wakati alipokuwa anaenda kwenye shule ya Qur-aan. Alipoona kuwa amekomaa na ana akili, akamuomba aandika ujumbe huu. Alikuwa hajafikisha miaka ishirini. Hii ndio natija ya malezi na mafundisho mazuri. Huleta matunda kama haya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331103.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015