Swali: Ninatamani kutoka na kwenda kulingania katika dini ya Allaah. Je, nitoke na Jamaa´at-ut-Tabliygh ili niweze kufanya jambo hilo?

Jibu: Unataka kuwa Suufiy? Watu hawa ni Suufiyyah. Utakuja kuwa Suufiy. Unataka kutoka nao? Hapana, usitoke nao. Baki na Ahl-us-Sunnah na chini ya ofisi ya Da´wah. Tuna wizara. Jiunge nao na waombe rukhusa na ulinganie katika dini ya Allaah (´Azza wa Jall) ikiwa una upeo wa kufanya Da´wah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20-%201%20-%202%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015