Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika ya Allaah ni mzuri na anapenda vilivyo vizuri.”
Je, hili linathibitisha kwamba al-Jamiyl, aliye mzuri, ni moja katika Majina ya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) na inajuzu kwa mtu akaitwa ´Abdul-Jamiyl?
Jibu: Hapana. Sio jina, ni kwa njia ya kutoa taarifa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameeleza kuwa Allaah ni mzuri na anapenda vilivyo vizuri. Hili ni kwa njia ya kumweleza Allaah (´Azza wa Jall) na sio kwa njia ya jina.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331103.mp3
- Imechapishwa: 17/06/2015
Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika ya Allaah ni mzuri na anapenda vilivyo vizuri.”
Je, hili linathibitisha kwamba al-Jamiyl, aliye mzuri, ni moja katika Majina ya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) na inajuzu kwa mtu akaitwa ´Abdul-Jamiyl?
Jibu: Hapana. Sio jina, ni kwa njia ya kutoa taarifa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameeleza kuwa Allaah ni mzuri na anapenda vilivyo vizuri. Hili ni kwa njia ya kumweleza Allaah (´Azza wa Jall) na sio kwa njia ya jina.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331103.mp3
Imechapishwa: 17/06/2015
https://firqatunnajia.com/al-jamiyl-ni-jina-la-allaah/