Swali: Ni ipi hali ya Shaykh Ibraahiym ar-Ruhayliy?
Jibu: Ibraahiym ar-Ruhayliy ana makosa mengi – Allaah atusamehe sisi na yeye. Ana makosa 13 au zaidi. Yule atakayesoma Radd yangu kwake atayaona. Hata hivyo sikutaja makosa yote. Miongoni mwa makosa hayo ni kumtetea kwake al-Qaasimiy na kwamba ni katika Ahl-us-Sunnah na Mujtahid.
Kosa lingine ni maneno yake aliposema kuwa yeye hakatazi kuchukua elimu kwa mtu ambaye hamfanyii Tabdiy´ al-Jahm bin Swafwaan – mtu ambaye kuna maafikiano juu ya ukafiri wake. Ana majanga mengi.
Laiti mimi ningelisema hivo, au baadhi ya maneno yake, basi ingelazimika kunitahadharisha.
- Muhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=137224
- Imechapishwa: 13/11/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)