Swali: Ni ipi hukumu ya kuchinja kwa ajili ya furaha ya kuhamia katika nyumba mpya?

Jibu: Ni sawa. Kuchinja na kualika watu wakati wa kuhamia katika nyumba mpya ni katika kuwa na furaha juu ya neema za Allaah na kuwakirimu majirani. Haina neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017