al-Fawzaan muislamu kuwahudumia chakula makafiri Ramadhaan

Swali: Ni ipi hukumu ya kuwapa chakula makafiri mchana wa Ramadhaan katika nchi ya kikafiri?

Jibu: Hapana, muislamu asitoe chakula. Muislamu asitoe chakula mchana wa Ramadhaan. Kwa kuwa dini yake inamkataza kufanya hivo. Kafiri anahudumiwa chakula na makafiri wenzake. Muislamu hamhudumii kafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (78) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_3_1_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020