Swali: Ni ipi hukumu ya kuwapa chakula makafiri mchana wa Ramadhaan katika nchi ya kikafiri?
Jibu: Hapana, muislamu asitoe chakula. Muislamu asitoe chakula mchana wa Ramadhaan. Kwa kuwa dini yake inamkataza kufanya hivo. Kafiri anahudumiwa chakula na makafiri wenzake. Muislamu hamhudumii kafiri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (78) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_3_1_1433.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kuwapa chakula makafiri mchana wa Ramadhaan katika nchi ya kikafiri?
Jibu: Hapana, muislamu asitoe chakula. Muislamu asitoe chakula mchana wa Ramadhaan. Kwa kuwa dini yake inamkataza kufanya hivo. Kafiri anahudumiwa chakula na makafiri wenzake. Muislamu hamhudumii kafiri.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (78) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_3_1_1433.mp3
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-muislamu-kuwahudumia-chakula-makafiri-ramadhaan/