Swali: Baba yangu ni mzee mwenye umri takriban sabini na tano na ni mgongwa. Kope zake ni ndefu na zinafika kwenye macho yake na zinamsumbua. Je, inajuzu kwangu kupunguza kope zake ili zisimsumbue?
Jibu: Ndio. Ikiwa zinamdhuru na zimezidi hali yake ya kawaida zipunguze ili madhara yaondoke.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-24-07-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 03/05/2015
Swali: Baba yangu ni mzee mwenye umri takriban sabini na tano na ni mgongwa. Kope zake ni ndefu na zinafika kwenye macho yake na zinamsumbua. Je, inajuzu kwangu kupunguza kope zake ili zisimsumbue?
Jibu: Ndio. Ikiwa zinamdhuru na zimezidi hali yake ya kawaida zipunguze ili madhara yaondoke.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-24-07-1435-01.mp3
Imechapishwa: 03/05/2015
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kupunguza-kope-za-mzee-zilizozidi-ada/