Kwanini umfiche mke wako kuwa unataka kuongeza mke?

Swali: Nataka kuoa mke mwingine. Je, inajuzu kwangu kuoa pasina mke wa kwanza kujua hilo?

Jibu: Ni lazima umbainishie. Usimdanganye. Mbainishie kuwa uko na mke na unataka kuoa mke wa pili, wa tatu na wa nne. Hakuna ubaya kwa hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo_%20maftuh-20-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 03/05/2015