Kudumu kwa kuswali Rak´ah nne kabla ya swalah ya ´Aswr

Swali: Mtu kudumu kwa kuswali kila siku Rak´ah nne kabla ya swalah ya ´Aswr ni katika Sunnah?

Jibu: Ndio, ni katika Sunnah. Mwenye kuswali nne kabla ya ´Aswrl, basi Allaah atamjengea nyumba Peponi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-24-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 03/05/2015