Swali: Ni ipi hukumu ya kuzungumza na mchumba wangu kwa njia ya simu pamoja na mzazi wake kujua hilo pasina kuchelea mambo ya haramu?
Jibu: Ikiwa ni mazungumzo kwa lengo la kutaka kufahamiana na mnaulizana kwa mambo ambayo ni wenye haja nayo, hakuna neno midhali hakuna mambo yaliyokatazwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-7-20.mp3
- Imechapishwa: 19/04/2015
Swali: Ni ipi hukumu ya kuzungumza na mchumba wangu kwa njia ya simu pamoja na mzazi wake kujua hilo pasina kuchelea mambo ya haramu?
Jibu: Ikiwa ni mazungumzo kwa lengo la kutaka kufahamiana na mnaulizana kwa mambo ambayo ni wenye haja nayo, hakuna neno midhali hakuna mambo yaliyokatazwa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-7-20.mp3
Imechapishwa: 19/04/2015
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-wachumba-kuzungumza-2/