Swali: Je, inajuzu kwa muislamu kueneza vitabu ambavyo vinaita katika migomo, kuwaponda wanachuoni, kueneza utata na vinahamasisha fujo katika miji ya waislamu kama kitabu “As-ilat-uth-Thawrah”[1]?
Jibu: Haijuzu kwake kufanya hivyo. Haijuzu kwake kufarikisha baina ya waislamu na kusababisha umwagikaji wa damu na mfarakano. Haijuzu kwake kufanya jambo hili. Ni haramu. Kuna Hadiyth nyingi juu ya kuwadhuru na kuwafarikanisha Waislamu. Haijuzu kwake kufanya hivyo.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/salmaan-al-awdah-na-demokrasia/
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/7aqoq-01.mp3
- Imechapishwa: 05/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)