al-Fawzaan kuhusu ujinga ni udhuru 11

Swali: Ni lini mtu hupewa udhuru kwa ujinga?

Jibu: Pale ambapo anakuwa hana yeyote wa kumfunza. Ikiwa hana yeyote wa kumfunza anapewa udhuru mpaka pale atapopata wa kumfunza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13958
  • Imechapishwa: 24/06/2020