al-Fawzaan kuhusu ujinga ni udhuru 1

Swali: Je, wanachuoni wametofautiana juu ya masuala ya kupewa udhuru kwa ajili ya ujinga au hawakutofautiana?

Jibu: Kuna kauli tofauti juu ya mtu mwenye kupewa udhuru kwa ujinga wake kweli.

Ama kuhusu mtu ambaye hapewi udhuru kwa ujinga wake, tofauti katika suala hili haizingatiwi. Ni batili kuzingatia tofauti katika suala kama hili. Sio sahihi kuwapa udhuru watu wote. Ujinga una mipaka yake, sehemu zake na vidhibiti vyake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/nawaqid-18-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/04/2015