al-Fawzaan kuhusu tofauti kati ya nchi ya Kiislamu na nchi ya kikafiri

Swali: Ni lini nchi inazingatiwa kuwa ni nchi ya Kiislamu au nchi ya kikafiri?

Jibu: Ikiwa inahukumu kwa Uislamu, hiyo ni nchi ya Kiislamu. Ikiwa inahukumu kwa ukafiri, hiyo ni nchi ya kikafiri. Kinachozingatiwa ni kile kinachotumiwa kama hukumu ndani yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alfawzan.ws/sites/default/files/bryhari–1427-2-12.mp3 Tarehe: 1427-02-12/2006-03-27
  • Imechapishwa: 28/03/2024