Swali: Nimewasikia baadhi ya wanafunzi wanasema kuwa tafsiyr ya Shaykh [´Abdur-Rahmaan] as-Sa´diy (Rahimahu Allaah) ni tafsiyr isiyokuwa ya kisomi. Je, maneno yake ni sahihi?
Jibu: Huyu hajui tafsiyr na wala hajui lolote. Tafsiyr ya Shaykh as-Sa´diy ni ya kielimu na usulubu wake ni mwepesi. Ni tafsiyr iliyo muntazi na nzuri. Ndani yake mna maneno ya wanachuoni wawili; Ibn Taymiyyah na Ibn-ul-Qayyim na khaswa katika mambo ya Tawhiyd na ´Aqiydah. Ni tafsiyr nzuri.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Nimewasikia baadhi ya wanafunzi wanasema kuwa tafsiyr ya Shaykh [´Abdur-Rahmaan] as-Sa´diy (Rahimahu Allaah) ni tafsiyr isiyokuwa ya kisomi. Je, maneno yake ni sahihi?
Jibu: Huyu hajui tafsiyr na wala hajui lolote. Tafsiyr ya Shaykh as-Sa´diy ni ya kielimu na usulubu wake ni mwepesi. Ni tafsiyr iliyo muntazi na nzuri. Ndani yake mna maneno ya wanachuoni wawili; Ibn Taymiyyah na Ibn-ul-Qayyim na khaswa katika mambo ya Tawhiyd na ´Aqiydah. Ni tafsiyr nzuri.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-taysiyr-ul-kalaam-ya-as-sadiy/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)