Wasia wa kuzikwa nje ya mji

Swali: Mtu akiusia kuzikwa nje ya mji wake wasia wake utekelezwe?

Jibu: Ikiwa yuko na sababu sahihi utekelezwe. Ama ikiwa hana sababu sahihi sio lazima kuutekeleza. Azikwe kokote na Waislamu wenzake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (43) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-29.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020