Swali: Mtu anaweza kusema kuwa sauti ya mwanamke ni ´Awrah?
Jibu: Ndio. Sauti ya mwanamke ni mtihani. Hakusemwi ya kwamba asiongei na wala asizungumze. Aongee na azungumze. Lakini hata hivyo asilainishe sauti na kuiremba. Inatakiwa iwe sauti ya kawaida.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Inafaa kwa mwanamke kusoma kwa sauti ya juu?
Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kusoma kwa sauti ya juu katika swalah ya Subh, Maghrib na ´Ishaa kama mwanaume au yeye anatakiwa kusoma kwa sauti ya siri? Jibu: Ikiwa yuko peke yake nyumbani, yuko na Mahram zake au yuko pamoja na wanawake wenzake tu anaweza kusoma kwa sauti ya juu. Akiwaongoza…
In "Swalah ya mwanamke"
Mwanamke anasoma kwa sauti ya juu kama mwanamme
Swali: Je, swalah ya mwanamme haitofautiani na ya mwanamke inapokuja katika kusoma kwa sauti ya juu na ulazima wa kukimu? Jibu: Adhaana na Iqaamah ni jambo maalum kwa wanamme. Hivo ndivo zilivyopokelewa dalili. Wanawake hawana adhaana wala Iqaamah. Kuhusu kusoma kwa sauti ya juu imesuniwa kwake kusoma kwa sauti ya…
In "Swalah ya mwanamke"
Sauti ya mwanamke sio ´Awrah
Swali: Je, sauti ya mwanamke ni ´Awrah? Hili pamoja na kuwa sauti yake inatofautiana kutegemea na kile anachokitaka. Jibu: Sauti ya mwanamke sio ´Awrah. Lakini mwanamke amekatazwa asiilegeze sauti yake asije kutamani yule ambaye ndani ya moyo wake mna maradhi. Hii ina maana ya kwamba asiongee maneno laini. Hili linahusu sawa…
In "Masomo ya mwanamke ya kidini"