Swali: Je, inawezekana Kishari´ah mwanadamu kumuoa jini mwanamke au kinyume chake?

Jibu: Jaribu kwa kumchukua jini na umuoe. Hili ni jambo tusilolijua. Hivyo basi, hatulikanushi na wala hatulithibitishi. Hatujui. Lakini unaweza kujaribu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-15.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020