Swali: Je, inawezekana Kishari´ah mwanadamu kumuoa jini mwanamke au kinyume chake?
Jibu: Jaribu kwa kumchukua jini na umuoe. Hili ni jambo tusilolijua. Hivyo basi, hatulikanushi na wala hatulithibitishi. Hatujui. Lakini unaweza kujaribu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-15.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Je, inawezekana Kishari´ah mwanadamu kumuoa jini mwanamke au kinyume chake?
Jibu: Jaribu kwa kumchukua jini na umuoe. Hili ni jambo tusilolijua. Hivyo basi, hatulikanushi na wala hatulithibitishi. Hatujui. Lakini unaweza kujaribu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-15.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-mwanadamu-kumuoa-jini/