al-Fawzaan kuhusu mtu kuwapa mawaidha majini

Swali: Je, inajuzu kukaa peke yangu na nikazungumza kwa kuamrisha mema na kukataza maovu kwa lengo anisikie jini aliyeko pembezoni mwangu?

Jibu: Hapana. Wape mawaidha na kuwanasihi wanaadamu. Ama kuhusu majini wana waumini wa kijini wanaowatosheleza. Waache majini wapewe mawaidha na majini wenzake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%202-%2011-08-1433.mp3
  • Imechapishwa: 15/06/2015