Swali: Je, ibara hii ni sahihi ya kwamba Qur-aan Tukufu udhahiri wake ni kiumbe kama mfano wa ardhi na mbingu?

Jibu: Haya ni maneno batili. Qur-aan ni Maneno ya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Kusema ya kwamba ni kiumbe ina maana ya kwamba imeumbwa kama viumbe vingine vinavyoonekana ikiwa ni pamoja na mbingu na ardhi. Haya ni maneno ya Jahmiyyah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_01.mp3
  • Imechapishwa: 31/05/2015