Swali: Je, inajuzu kwa baba kumlazimisha msichana wake ambaye ni bikira kuolewa? Nimesoma masuala haya kwenye kitabu kimoja.
Jibu: Hakuna ulazimishaji. Asimlazimishe msichana wake kuolewa, sawa ikiwa ni bikira au kishawahi kuolewa. Bikira inatakiwa ichukuliwe rai yake na wala asiozeshwe na yule anayemchukia, maadamu yuko na akili na anajua maslahi yake. Asilazimishwe kutokana na kauli sahihi miongoni mwa kauli za wanachuoni. Kama ilivyokuja katika Hadiyth ya kwamba bikira atakwe idhini na kutoa kwake idhini ni kule kunyamaza kwake kimya. Mama mzima ambaye kishawahi kuolewe aamrishwe.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/12934
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Je, inajuzu kwa baba kumlazimisha msichana wake ambaye ni bikira kuolewa? Nimesoma masuala haya kwenye kitabu kimoja.
Jibu: Hakuna ulazimishaji. Asimlazimishe msichana wake kuolewa, sawa ikiwa ni bikira au kishawahi kuolewa. Bikira inatakiwa ichukuliwe rai yake na wala asiozeshwe na yule anayemchukia, maadamu yuko na akili na anajua maslahi yake. Asilazimishwe kutokana na kauli sahihi miongoni mwa kauli za wanachuoni. Kama ilivyokuja katika Hadiyth ya kwamba bikira atakwe idhini na kutoa kwake idhini ni kule kunyamaza kwake kimya. Mama mzima ambaye kishawahi kuolewe aamrishwe.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/12934
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-kumuozesha-bikira-kwa-nguvu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)