al-Fawzaan kuhusu kumuadhinia mtoto anapozaliwa

Swali: Kumtolea adhaana mtoto wakati anapozaliwa ni Sunnah iliyothibiti?

Jibu: Ndio, imethibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwamba aliadhini kwenye sikio la al-Hasan na al-Husayn na akakimu. Inakuwa kitu cha kwanza anachosikia mtoto DhikrAllaah (´Azza wa Jalla).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (16) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-07.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014