Wanachuoni waliowajuzishia wacheza mpira kula Ramadhaan

Swali: Baadhi ya wanachuoni wametoa fatwa ya kujuzu kula kwa wacheza mpira wakati wa kucheza mpira. Je, hukumu hii ni sahihi?

Jibu: Hukumu hii ni batili. Msingi wa mchezo wenyewe ikiwa unamshughulisha mtu na kufanya ´ibaadah ni haramu. Baadhi ya watu unawashughulisha na swawm, hili halijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (16) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-07.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014