Swali: Kuna mtu anataka kufungua kliniki rasmi kwa ajili ya Hijaamah (kuumika) ili achume pesa. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Imechukizwa. Imechukizwa, lakini inajuzu. Pato la kuumika ni chafu, bi maana kudharauliwa. Atafute kazi ingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340127.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015