Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufa katika maandamano dhidi ya mtawala wa Kiislamu?
Jibu: Amekosea na Allaah ndiye anajua zaidi. Hukumu yake iko kwa Allaah, lakini amekosea.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.ibnbaz.se/Artiklarna/1201-1300/034.html
- Imechapishwa: 05/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)