Swali: Shaykh ´Abdullaah al-Ghudayyaan amefariki na hatukuwahi kusoma kwake. Je, waweza kutuhadithia kitu kuhusu maisha yake?
Jibu: Allaah amrehemu. Maisha yake mnayajua. Yalikuwa ni maisha ya mwanachuoni. Alipanga muda wake na akaeneza kheri. Kunatarajiwa kwake kheri kwa – idhini ya Allaah
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mhdr-09-11-1432.mp3
- Imechapishwa: 19/05/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)