Swali: Shaykh ´Abdullaah al-Ghudayyaan amefariki na hatukuwahi kusoma kwake. Je, waweza kutuhadithia kitu kuhusu maisha yake?

Jibu: Allaah amrehemu. Maisha yake mnayajua. Yalikuwa ni maisha ya mwanachuoni. Alipanga muda wake na akaeneza kheri. Kunatarajiwa kwake kheri kwa – idhini ya Allaah

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mhdr-09-11-1432.mp3
  • Imechapishwa: 19/05/2020