al-Faatihah baada ya kuomba du´aa ni Bid´ah

Swali: Je, Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anasoma al-Faatihah baada ya du´aa?

Jibu: Haikuthibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba alikuwa akisoma al-Faatihah baada ya du´aa kutokana na tunavyojua. Kusoma al-Faatihah baada ya kuomba du´aa ni Bi´ah.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/376-377)
  • Imechapishwa: 23/08/2020