Swali: Je, Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anasoma al-Faatihah baada ya du´aa?
Jibu: Haikuthibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba alikuwa akisoma al-Faatihah baada ya du´aa kutokana na tunavyojua. Kusoma al-Faatihah baada ya kuomba du´aa ni Bi´ah.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/376-377)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Je, Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anasoma al-Faatihah baada ya du´aa?
Jibu: Haikuthibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba alikuwa akisoma al-Faatihah baada ya du´aa kutokana na tunavyojua. Kusoma al-Faatihah baada ya kuomba du´aa ni Bi´ah.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/376-377)
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-faatihah-baada-ya-kuomba-duaa-ni-bidah/