Katika ukurasa wa 111 na 112 ametaja – al-Buutwiy – kwamba mwenye kumweleza ‘Aliy bin Abiy Twaalib na sifa ya utume, kuamini kuwa waalimu wa Suufiyyah wamekingwa na madhambi na kwamba maneno ya “Imaam al-Khomeyniy” kuwa hakuna Malaika wala Nabii yeyote anayefikia daraja sawa na maimamu ana maoni potevu tu na sio kufuru inayomtoa yule mwenye kuiamini hivo katika Uislamu. Amesema hili pia katika ukurasa wa 110 na kuweka taaliki katika tanbihi (footnote) ukurasa wa 112:
”Nimewauliza baadhi ya ndugu katika Shiy´ah Iraan… ”
Kutomkufurisha mtu ambaye ana maoni kama haya na isitoshe anaonelea kuwa ni ndugu ni kosa la wazi kabisa. Mambo haya ni kuritadi kwa wazi. Vipi basi wasionelewe kuwa ni makafiri?
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Bayaan li Akhtwa’ Ba´dh-il-Kuttaab, uk. 141
- Imechapishwa: 22/04/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)