Swali: Baada ya imamu kumaliza kutoa adhaana au kukimu baadhi ya watu husema:

حقًّا لا إله إلا الله

 “Ni kweli hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah.”

Je, kusema hivo ni jambo limewekwa katika Shari´ah?

Jibu: Akilazimiana na kitu hicho siku zote ni kitu ambacho hakikuwekwa katika Shari´ah. Lakini akisema baadhi ya nyakati basi hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (16)
  • Imechapishwa: 11/05/2021