Ajira kwenye kampuni inayochukua mikopo ya ribaa

Swali: Nafanya kazi katika kampuni inayochukua mikopo ya ribaa. Je, napata dhambi kwa kufanya kazi hapo?

Jibu: Usifanye kazi hapo. Muda wa kuwa chumo lako linatokana na ribaa usifanye kazi hapo. Tafuta riziki kwengine

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
  • Imechapishwa: 29/09/2023