Swali: Mume ana haki ya kumkatalia mke kusafiri kwenda kuwatembelea ndugu zake nje ya Saudi Arabia?
Jibu: Ndio. Mke hana haki ya kusafiri isipokuwa kwa idhini yake mume. Kwa hivyo anayo haki ya kumkatalia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
- Imechapishwa: 29/09/2023