Swali: Ni lini mlinganizi anatoka katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah?
Jibu: Akiwa analingania katika upotevu, shirki, Bid´ah, shari na fitina akatoka katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Anafika anakuwa katika walinganizi wapotevu. Kwa sababu walinganizi wako aina mbili:
1- Walinganizi wa haki.
2- Walinganizi wa upotevu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13974
- Imechapishwa: 26/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)