Ahmad bin Hanbal kuhusu Khawaarij


Abu ´Abdillaah Ahmad bin Hanbal amesema:

“Usiwauzie chakula na nguo Khawaarij na usinunue chochote kutoka kwao. Khawaarij ni majambazi na ni watu waovu.”

“Usizungumze nao na usiwaombee du´aa.”

“Khawaarij ni watu waovu. Sijui kama kuna mtu yeyote katika ardhi muovu zaidi kuliko wao.”

  • Mhusika: Imaam Abu Bakr al-Khallaal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: as-Sunnah (1/100, 1//155, 1/157)
  • Imechapishwa: 06/09/2020