Swali: Je, msomaji amuadhinie aliyepatwa na jini wakati wa kumsomea?

Jibu: Sijui ubaya wowote. Natarajia ataondoka… lakini muhimu ni kumuonya na kumtahadharisha na kumbainishia uharamu wa kumdhulumu, kama ni muislamu amche Allaah na kama sio muislamu basi atubie kwa Allaah… ampe mawaidha kwa kumkumbusha na kumukhofisha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23692/حكم-الاذان-عند-القراءة-على-الممسوس
  • Imechapishwa: 05/04/2024