Swali: Je, swalah ya mamkuzi ya msikiti baada ya ´Aswr inadondoka?

Jibu: Hapana, ni katika zile swalah zinazoswaliwa kutokana na sababu. Aswali swalah ya mamkuzi ya msikiti. Akiingia msikitini aswali swalah ya mamkuzi ya msikiti baada ya ´Aswr na baada ya Fajr.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23691/هل-تسقط-تحية-المسجد-بعد-العصر-والفجر
  • Imechapishwa: 05/04/2024