Swali: Je, muadhini anyanyue sauti juu wakati wa vita kwa sababu kuna khatari adui akagundua ni wapi mtu alipo?
Jibu: Inatosha kwa wale wenye kuadhiniwa kuisikia. Akinyanyua sauti kwa kiasi cha kusikia wale wahudhuriaji, basi inatosha. Aidha haijuzu kwake kunyanyua sauti juu kiasi cha kwamba adui akagundua mtu alipo. Kwa sababu kufanya hivo mtu anaiweka nafsi yake mwenyewe kwenye maangamivu.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/167-168)
- Imechapishwa: 10/05/2026
Swali: Je, muadhini anyanyue sauti juu wakati wa vita kwa sababu kuna khatari adui akagundua ni wapi mtu alipo?
Jibu: Inatosha kwa wale wenye kuadhiniwa kuisikia. Akinyanyua sauti kwa kiasi cha kusikia wale wahudhuriaji, basi inatosha. Aidha haijuzu kwake kunyanyua sauti juu kiasi cha kwamba adui akagundua mtu alipo. Kwa sababu kufanya hivo mtu anaiweka nafsi yake mwenyewe kwenye maangamivu.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/167-168)
Imechapishwa: 10/05/2026
https://firqatunnajia.com/adhaana-katika-hali-ya-vita/