Swali: Kuna mtu amefikisha kile kiwango cha kutoa zakaah, hata hivyo ni fakiri. Je, ni halali kwake kupokea zakaah?
Jibu: Sio kila ambaye inafaa kwake kupokea zakaah haifai kwake kutoa zakaah. Katika hali hiyo yeye atatoa zakaah na kupewa zakaah.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/340)
- Imechapishwa: 10/05/2026
Swali: Kuna mtu amefikisha kile kiwango cha kutoa zakaah, hata hivyo ni fakiri. Je, ni halali kwake kupokea zakaah?
Jibu: Sio kila ambaye inafaa kwake kupokea zakaah haifai kwake kutoa zakaah. Katika hali hiyo yeye atatoa zakaah na kupewa zakaah.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/340)
Imechapishwa: 10/05/2026
https://firqatunnajia.com/fakiri-anatoa-na-kupokea-zakaah/