Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kukimu swalah?
Jibu: Hapana vibaya kwa mwanamke kufanya hivo ikiwa anaswali peke yake nyumbani. Hapana vibaya pia ikiwa hatofanya hivo. Kwa sababu kukimu swalah ni jambo la wajibu kwa wanaume wanaoswali mkusanyiko. Hata mwanaume anayeswali peke yake kukimu sio jambo la wajibu. Hata hivyo bora ni yeye kukimu, lakini haina neno ikiwa hatokimu.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/159-160)
- Imechapishwa: 10/05/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kukimu swalah?
Jibu: Hapana vibaya kwa mwanamke kufanya hivo ikiwa anaswali peke yake nyumbani. Hapana vibaya pia ikiwa hatofanya hivo. Kwa sababu kukimu swalah ni jambo la wajibu kwa wanaume wanaoswali mkusanyiko. Hata mwanaume anayeswali peke yake kukimu sio jambo la wajibu. Hata hivyo bora ni yeye kukimu, lakini haina neno ikiwa hatokimu.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/159-160)
Imechapishwa: 10/05/2026
https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hukumu-ya-mwanamke-kukimu-swalah/