Swali: Kuna kitabu cha Shaykh Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy na cha Shaykh Zayd al-Madkhaliy. Kitabu cha Shaykh Zayd kinaitwa “al-Irhaab” na cha Shaykh Ahmad an-Najmiy kinaitwa “al-Mawrid al-´Adhb”. Humo mmetajwa majina ya baadhi ya walinganizi wa leo kama mfano wa Muhammad al-´Ariyfiy, ´Aa´idh al-Qarniy, Salmaan al-´Awdah na Naaswir al-´Umar. Nimetawanya kitabu hiki na nimeona kuwa umekisifu. Pamoja na hivyo kuna baadhi ya ndugu waliokemea na kusema kwamba wewe hukutahadharisha watu hawa

Jibu: Achana nao. Achana nao. Kitabu hichi kimechapishwa, kimeenezwa na kutawanywa. Achana nao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=zbMGFE63Ge0
  • Imechapishwa: 23/07/2020