Swali: Ikiwa atakosa Hajj kisha akatoka kwenye Ihraam kwa kufanya ‘Umrah – Je, haifanani na aliyenuia kuhiji kwa Tamattu‘?
Jibu: Hili ndilo alilolitoa fatwa ´Umar. Aliwajibisha juu yao hajj inayofuata na pia kutoa fidia na aliwafananisha na aliyenuia kufanya ‘Umrah na Hajj kwa pamoja, au aliyenuia Hajj peke yake kisha akatoka kwenye Ihraam kwa kufanya ‘Umrah. Aliwafananisha nao kwa sababu anahiji na kutoa kuchinja kichinjwa, kama Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alivyowaongoza Maswahabah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25034/ما-حكم-من-فاته-الحج-ثم-تحلل-بعمرة
- Imechapishwa: 25/01/2025
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Mkazi wa Qasiym ameingilia Ihraam Twaaif
Swali: Kuna mtu alisafiri kutokea Qasiym kwa ajili ya kutaka kufanya ´Umrah. Lakini njiani akasimama Madiynah kwa muda wa siku tatu na baadaye akaendelea Jeddah ambapo na huko akakaa kwa muda wa siku tatu. Kisha akaenda Twaaif na akaingia Ihraam kutokea hapo Twaaif. Jibu: Analazimika kutoa fidia. ´Umrah yake ni…
In "Hajj na ´Umrah"
41. Baadhi ya hukumu zinazomuhumu mwanamke katika Hajj na ´Umrah II
4 - Mwanamke atapopata hedhi au damu ya uzazi kwenye njia yake ya kwenda hajj, basi ataendelea na safari yake. Ikimpata wakati atapokuwa kwenye Ihraam, basi atafanya Ihraam kama wanawake wengine waliowasafi. Kwa sababu ile nafsi ya Ihraam haishurutishi twahara. Mtunzi wa “al-Mughniy” amesema: “Jumla ya hayo ni kwamba kuoga…
In "08. Sura ya nane: Hukumu zinazomuhusu mwanamke katika Hajj na ´Umrah"
Ihraam kutokea Jeddah
Swali: Je, Jeddah ni kituo? Jibu: Hapana, ni kituo kwa wakazi wake au wale wenye kunuia kufanya ´Umrah au Hajj kutokea hapo. Yule aliyeko hapo na akanuia kufanya Hajj au ´Umrah, basi ataingilia Ihraam hapo. Wakazi wa Jeddah wataingilia Ihraam hapo. Kuhusu wengine wote wanatakiwa kuingia Ihraam katika vituo vilivyo…
In "Miyqaat (Vituo)"