Swali: Kama mtu anataka kufungisha ndoa kati ya watu na wao wanataka kumuwekea sharti batili. Hata hivyo akataka kuwafungisha ndoa na hali yao mpaka baada ya ndoa ndio awaeleze kuwa sharti ilikuwa batili. Je, sahihi kufanya hivo?
Jibu: Hapana, awafunze. Asitimize shari hiyo. Awafunze ya kwamba sharti hiyo ni batili. Asiwafungishe ndoa. Awabainishie na asiwaghushi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23644/هل-يجوز-اتمام-العقد-وفيه-شرط-باطل
- Imechapishwa: 11/03/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)