Wafanyakazi makafiri misikitini

Swali: Je, inafaa kuilinda misikiti na wafanyakazi makafiri?

Jibu: Hapana, wafanyakazi hao wasione misikiti kwa sababu hawaaminiki. Lakini hapana vibaya wakiingia msikitini ili wanywe [maji] au wasikilize [darsa]. Ama wawe ndio wafanyakazi wenye kuiimarisha misikiti hapana, kwa sababu hawaamini katika kuiimarisha misikiti.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23645/ما-حكم-صيانة-عمال-غير-مسلمين-للمسجد
  • Imechapishwa: 11/03/2024