99. Du´aa ya msafiri kwa mwenyeji wake

  Download

211-

أَسْتَوْدِعُكُمُ اللَّهَ الَّذِي لاَ تَضِيعُ وَدَائِعُهُ

”Nawaacha katika amana ya Allaah ambaye hakupotei amana Kwake.”[1]

[1] Ahmad (02/403) na Ibn Maajah (02/943). Tazama “Swahiyh Ibn Maajah” (02/133).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 04/05/2020