93 – Ibn ´Abbaas amesema:

”Unapoteremka wahy, basi Malaika husikia sauti kama ya chuma.”[1]

[1] Wasimulizi wake ni wenye kuaminika. Ameipokea ad-Daarimiy, uk. 14, ´Abdullaah bin Ahmad, kupitia njia nyingine kutoka kwake. Wasimulizi wake ni madhubuti pia. Kwa hivyo imethibiti kutoka kwake. Abush-Shaykh amepokea mfano wake katika ”al-´Adhwamah” (1/28) kupitia njia nyingine, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 111
  • Imechapishwa: 12/07/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy