95. Athar ”Allaah kumswalia ni rehema Zake… ”

96 – Naswr bin ´Aliy ametuhadithia: Muhammad bin Sawaa’ ametuhadithia, kutoka kwa Juwaybir, kutoka kwa adh-Dhwahhaak, ambaye amesema:

”Allaah kumswalia ni rehema Zake na Malaika kumswalia ni du´aa.”[1]

[1] Cheni ya wapokezi ni dhaifu sana. Haafidhw Ibn Hajar amesema katika “at-Taqriyb” kuhusu msafiri Juwaybir bin Sa´iyd al-Azdiy al-Balkhiy:

”Ni mnyonge sana.”

  • Mhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 82
  • Imechapishwa: 14/02/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy